Nyumba inapangishwa ni mpya ina
nyumba kubwa na servant kota  ambayo nayo ni gorofa  na ina kila kitu
ndani we unakuja na nguo zako tu , nyumba ni mpya na inapakana na bahari upepo
mwanana utakuwa wako  huduma za ulinzi masaa 24,
dstv na internet inapatikana
Location: JKT Mbweni, Ndege beach
Rent: USD 4000 
Contact:
0715 338834 
0754 500900
0786225022
0754 500900
0786225022








0 comments:
Post a Comment